FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

Ritha T Maoni na Ritha T saa Novemba 4, 2009 11:43am
MISHKAKI YA KUKU

Mahitaji
*nyama ya kuku
*chumvi *pilipili (ukipenda)
*karoti *kitunguu saum
*limao *tangawizi

Maandalizi
-Kata nyama ya kuku vipande vidogo kiasi,chagua steak.zioshe vizuri uziweke kwenye chombo kisafi,kamulia limao na chumvi uiache pembeni.
-osha karoti na ukate vipande saizi upendayo ila iwe muundo wa mviringo
-chukua vitunguu saum na tangawizi vitwange pamoja hadi vilainike,weka kwenye kibakuli kikavu na safi.
Jinsi ya kutengeneza
-sasa chukua vipande vyako vya nyama tia ule mchanganyiko wa tangawizi na vitunguu saum changanya kwa pamoja vyote hadi vikolee.kisha ziache pembeni kwa mda .
-tafuta vijiti au vyuma vya mishkaki futa vizuri kisha anza kuchomeka vipande vya nyama,kila baada ya kipande weka na karoti. Na kisha anza kuchoma kwa moto wa kawaida sana,zikianza kubadilika rangi waweza kuongeza moto kiasi na huku unaigeuza.
-baada ya dakika kadhaa mishkaki itakua tayari,hakikisha imekua ya brown kabisa na imelainika na inanukia.
-itoe na uweke pembeni,iliwe ikiwa ya moto.
Waweza kula kwa ugali na kachumbali pembeni,au chips na soft drink.
Mabagala Maoni na Mabagala saa Novemba 4, 2009 7:13am
Mishkaki ya kuku upate na mbatata za urojo, basi weee mbona utapasua Saahani!!!
cool Maoni na cool saa Novemba 3, 2009 5:35pm
mhhh makubwa
Mabagala Maoni na Mabagala saa Novemba 3, 2009 5:32pm
Dada Rita T usisahau na Zanzibar Pizza!
cool Maoni na cool saa Novemba 3, 2009 5:21pm
hehehheh hapo ni kubasti kabisa
CUTE Maoni na CUTE saa Novemba 3, 2009 5:17pm
du! nahic chakula kitakuwa kitamu kwel kwel, mie bac tawaandalia juice msinyigwe au sio Bi Dada
cool Maoni na cool saa Novemba 3, 2009 3:30pm
hehehehhe mimi mlaji tu au nitaandaa vyombo
Kisusi Maoni na Kisusi saa Novemba 3, 2009 2:03pm
Ugali ntasonga mimi dada RT, naweka fugo kabisa!
Ritha T Maoni na Ritha T saa Novemba 3, 2009 12:56pm
Dakika zijazo ntawaletea mishkaki ya kuku,
sijui nani atapika ugali
cool Maoni na cool saa Ocktoba 29, 2009 8:22pm
hahaha samahani kwa kusahau hiyo inafaa kwa nyama ya kuchoma ya ng'ombe au kitimoto kwa wale walaji au mbuzi wherever you want
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter