FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 15, 2008 12:06pm
Ed afadhali kama wajua kupika atleast mayai.
na afadhali umejitetea unafaham kupika maana humu jikoni asiejua kupika tunampa kazi ya kuosha vyombo,kama nanhiiiii........
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 15, 2008 12:04pm
ahahahaha kumbe araway unajua ingredients ya vitumbua ila naona kupika ndo umesahau.
please tunaomba anaejua kuvipika atusaidie hata mimi nataka kujua kama vadonde.
ed Maoni na ed saa Desemba 15, 2008 11:47am
Asante kwa kunikaribisha jikoni RT. Kusema kweli apendae kula basi ni lazima ajue upishi angalau kidogo, vinginevyo atakufa mtu kwa njaa. Nina bahati kwamba dada zangu na kina shangazi na binamu zangu wamenifundisha kuchemsha mayai hahahaha. Sasa nimeamua kujiunga humu jikoni, si kuonja tu ila kupata umaarifa wa kusukumana na sufuria na mwiko pia humu jikoni. Nitajitahidi nami kutoa baadhi ya mapishi ya maakuli mbali mbali mara tu nitapopata. Nawatakia kila la kheri nyote wahusika ktk ushikaji wa mwiko!
araway Maoni na araway saa Desemba 13, 2008 10:41am
vadonde ya vitumbua mimi ninayo ila imeandikwa kizaramo sasa sijui kama utakiweza! umevimissee!! ngoja nitafute mkalmani wa kizaramo! lakini kabla ya hapo andaa unga wa mchele, iliki, mafuta, kikaango cha vitumbua,maji,sukari na! na! na embu subiri<</body>
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 10, 2008 11:55am
ED KARIBU SANA JIKONI...tuletee mapishi au we unapenda kula tu?
hmm candy huo mlenda wa hivyo sina utaalam nao sana,ule wa kinyamwezi ndo naujua mimi. labda jaribu kuongea na araway akupe hiyo recipe yake.
ed Maoni na ed saa Desemba 7, 2008 7:48pm
Hodi humu jikoni.
araway Maoni na araway saa Desemba 6, 2008 10:03am
candy nimekuita kibarazani nikupe recipe ya mlenda naona umedengua haya bibie mimi ngoja niifungie kabatini maana yangu ina hati miliki! hehehee!!
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 5, 2008 3:26pm
mlenda wa aina gani dada candy??
kuna wa bamia na majani ya maboga pia kuna ule mrenda wa kinyamwezi ambao unakua na karanga nk.
we unataka wa aina gani??
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 5, 2008 6:55am
KUDADADEKI.....
hii ntaandaa asubuhi ya krismass.
thanx alot leila.
Leila Maoni na Leila saa Desemba 4, 2008 3:59pm
Jaribu kuupika weekend shosti..
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter