FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

Kisusi Maoni na Kisusi saa Novemba 9, 2009 3:52pm
Mi nipo hapa, nadhani bakuli la kwanza ni la kwangu maana udenda umeshanijaa mdomoni mpaka sina hamu!
Sarah Maoni na Sarah saa Novemba 9, 2009 2:55pm
Hhaha jamni karibuni sana nawasubiria nipakue Dr Stiba, Clara na RT NA WENGINEO WOOTE MSICHELEWE hehehheh
Ritha T Maoni na Ritha T saa Novemba 9, 2009 12:48pm
DUH, vado unatupa vidonda wenye njaa,
yani kitu hadi nimekisikia harufu yake kinavyonukia.

naona hapo kuna bamia,nyama,viazi nk
oh.....wapi ntapata ugali
Kisusi Maoni na Kisusi saa Novemba 9, 2009 8:06am
Ebana Vadonde mbona unatujaza udenda tu na jungu lenyewe halipakuliwi!? Duh si mchezo, hapa nimekaa na kiporo changu cha ugali wa bada nasubiri hilo jungu lipakuliwe!
cool Maoni na cool saa Novemba 9, 2009 12:40am
yammy yammy yammy delicioso
Sarah Maoni na Sarah saa Novemba 6, 2009 10:06pm

Jmani nipo napika kikiiva nitawapa maelekezo hehe hehhe karibuni wote
cool Maoni na cool saa Novemba 4, 2009 4:19pm
duhhh pascal hiyo comedy sasa
Byanaku - Chui Mfalme Maoni na Byanaku - Chui Mfalme saa Novemba 4, 2009 3:47pm
Athante kwa kunikaribisha mama mpishi

Mi nataka unipikie OBUNYATA
Kisusi Maoni na Kisusi saa Novemba 4, 2009 3:15pm
Ahsante dada RT nami namalizia kuandaa ugali hapa tuje tumenyuke na mishkaki yetu!
Mabagala Maoni na Mabagala saa Novemba 4, 2009 2:27pm
Soft drinks tu? Ina maana mishkaki ya kuku kwa bia hatuwezi kula?
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter