FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Desemba 25, 2008 10:52pm
Andaa sponge cake nne, zote ziwe na ukubwa tofauti isipokuwa mbili ukubwa wake usipishane sana kwani moja itakuwa chini na nyingine itabandikwa juu yake.
Andaa icing (ziwe rangi tatu: nyeupe, nyekundu na nyeusi).
Chukua sponge cake ambayo ni kubwa kuzidi nyingine katika zile mbili zenye ukubwa kukaribiana, juu ya hiyo bandika size inayofatia kwa juu.
Baada ya hapo, chukua cake ya tatu size ndogo inayofatia na kubandika juu, hiyo piece ndio itayokuwa kichwa cha snowman.
Na baada ya hapo bandika cake iliyobakia ndogo juu ya hizo. Hiyo sponge cake ndogo ndio itakuwa kofia.

Baada ya kuzibandika cake pamoja, chukua icing uliyoandaa.
Chukua icing ya rangi nyeupe na aanza kupulizia/weka kwenye cake yako kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.
Chukua icing ya rangi nyeusi na kupulizia kipande cha sponge cake kilicho juu na kweka icing nyingi itayounganisha sponge cake ya juu na ile inayofatia chini kuonekana kama kofia. Pia jaribu kuweka vidoti vyeusi vya icing kwenye hiyo pande nyingine iwe kama ndio macho na pua. Baada ya hapo endelea kuweka black icing kwenye hizo two pieces za sponge cake za chini.
Ukimaliza chukua icing yako ya rangi nyekundu, aanza kuweka katikati kutengesha hizo pieces mbili za cake za juu na pieces mbili za chini.
Baada ya hapo pulizia red icing kwa umaridadi hadi itokee hiyo kama inayoonekana shape ya mkanda kwenye cake.

Ukishamaliza hivyo kazi imekwisha. Weka mezani na kuanza kukata na kula
araway Maoni na araway saa Desemba 24, 2008 4:58pm
nyie woote wapenda kula nawatakieni sikukuuz njema kabisa za kristmas na mwaka mpya, angalieni jamani matumbo ayo msiyaharibu na minuso ya sikukuuz,
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 22, 2008 8:45am
aaaah mama week end hii umeamua.
asante sana kwa pishi la wali,kumbe baba yupo juu!!na hiyo cake nzuri sana najua kupika keki ila kuitengeneza na kuipamba hivyo aisee ni ujuzi wa hali ya juu.tunaomba recipe yake tuigilizie.
cherry Maoni na cherry saa Desemba 21, 2008 11:49pm
Mama M tunasubiri recipe ya snowman cake lol!
cherry Maoni na cherry saa Desemba 21, 2008 11:47pm
Mama M asante kwa recipe ya wali wa baba M,mie hupika hivyo kwa kuku au natumia prawns jaribu uone test yake.Na kama unapenda rangi waweza tia wali rangi mbili kama wa biriani tumia food colour au saffron(zafarani).
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Desemba 20, 2008 7:52pm
snowman cake

Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Desemba 20, 2008 7:10pm
Nime copy upishi huu wa wali toka kwa baba Malaika ni mtamu. Recipes hii hapo chini kwa atayependa.

Ingredients:about a cup of cooked rice, brown rice, white, whatever.
some chicken, cut into small pieces, to be cooked separately first
1 egg, to be scrambled
about a cup of peas (njegere) & carrots, green beans (optional)
2 garlic cloves
1 green onion
salt/pepper/crushed dry red pepper
cooking wine (optional, its for flavoring the meat a little)

Directions:

1. First thing, make sure you either have leftover rice ready or you have some in the pot cooking
2. Trim your green beans or whatever other additional vegetable you'd like to use. Chop your green onions, smash your garlic, not into tiny pieces, just a little so the flavor could come out.
3. cut the chicken into small pieces, in a small bowl, add a little soysauce to marinade the meat (baba Malaika says it makes meat taste better but not sure about that)
3. beat the egg into a separate bowl, add a pinch of salt. Heat up a little oil and scramble it just like you would for breakfast or something. Remove it from the pan slightly uncooked, because you're going to cook it more later when everything is together.
4. Heat a little more oil into the pan to cook your chicken now. When its about 70% cooked, add a little cooking wine into it to flavor it. But yo can go without it too and don't make a huge difference.
5. add in the rice when the meat is almost good, stir around for a little bit and add a little soysauce, SLOWLY.. don't put too much! toss everything around, let the color even out a little..
6. throw in your green beans, peas, carrots and cook some more. Then your eggs.
7. by now it should start looking like fried rice, and just need its finishing touches. try it, if its a little bland, you can add some salt and/or soysauce. Or you can add a little black pepper and crushed red pepper too. And of course, flax seeds too. When you're about to turn off the heat, throw in the green onions and mix it in slightly.
8. The food is ready, serve, enjoy......
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Desemba 20, 2008 2:25am
Vadonde si useme tu kuwa hujui kupika... LOL...
Mwenzio Angelina Jolie alisema ukweli kuwa hajui kupika chakula cha aina yoyote ile zaidi ya cereal.
Jamani mie mate yalishaanza nidondoka
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 18, 2008 3:03pm
Aiiiiii jamani mchezo gani huu wa kutamanishana??
hebu tupeni recipe zake jamani lol mi nasikia baridi tumboni.
CHIBIRITI Maoni na CHIBIRITI saa Desemba 17, 2008 7:56pm
Sijui mimi nimewaletea picha tu, ili mtamani sana na mate yawatoke, yawadondoke sana.
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter