FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

cherry Maoni na cherry saa Desemba 22, 2009 1:30am
Jamani nambieni ni mie tu au nanyi hamuoni picha nilizo weka jana za maakul???? Jana zilikuwepo leo nimeingia sioni picha hata moja,atakae jali kunijibu naombeni jibu.
cherry Maoni na cherry saa Desemba 21, 2009 1:30am
ANYONE FOR DESSERT YA KISWAHILI


KARIBUNI SANA
cherry Maoni na cherry saa Desemba 21, 2009 1:22am
KARIBUNI MAPISHI YA UNGUJA

cherry Maoni na cherry saa Desemba 21, 2009 1:18am
Wapishi wa FotoB hamjambo jamani???Ni siku nyingi sijapita humu kijiweni natumai mnaendeleza ujuzi,basi kuleni kwa macho breakfast hio.Ni upishi mwepesi kwa chai ya kuongeza uzembe siku kama ya J'2 asubuhi.

Mama Rayan Maoni na Mama Rayan saa Desemba 20, 2009 3:36pm
dada ritha jamani maziwa yale mazito kama asali nadhani umeyajua
Cat Wa Ukweli. Maoni na Cat Wa Ukweli. saa Desemba 15, 2009 10:25pm
wapenda mapishi,salama hapa ndg zanguniiiiiiii
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 10, 2009 6:43am
aiiii jamani inaonekana tamu.asante sana kwa chakula hichi.
ila hayo maziwa ya b&b siyapati wangu.ni ya unga au?
Mama Rayan Maoni na Mama Rayan saa Desemba 8, 2009 8:21am
ndugu zangu za muda leo nakuja na dessert very rahisi
mahitaji
1-kopo moja la maziwa b&bna maana sweeted millk
2-biskuti marie kiasi unacho taka
3- maziwa ya maji vikombe viwili

Jinsi ya kufanya
mimina maziwa ya maji kwenye bakuli pia chukua bakuli lingine mimina maziwa ya b&b chukua sahani refu au kubwa kwa ajili ya kupangia biskuti chukua biskut chovya kwenye maziwa same time unaitoa unaichovya kwenye maziwa mazito unazisimamisha kwenye sahani kwa kuzipanga wima moja baada ya ingine mpaka unamaliza ziweke kwenye frige kwa muda chukua kisu kata slice unavyo penda jaribuni ni taamuu
Mama Rayan Maoni na Mama Rayan saa Desemba 8, 2009 7:34am
jamani sara usini sahau wakati wa kula
Sarah Maoni na Sarah saa Novemba 9, 2009 9:34pm
Tena raha ya msosi kama huu ni kukaa mkekani lol jamni msichelewe!!!
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter