FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

cool Maoni na cool saa Desemba 29, 2009 2:18am
ok mamii nitajitaidi
cherry Maoni na cherry saa Desemba 29, 2009 1:39am
Chaguo lako mkwe.
Cool ukikosa hio sauce tumia nyanya za kawaida tengeneza rosti la nyama ya kusaga nzuri halafu endelea na mengine kama kawa.Kwa bongo niliwahi nunua hizo sauce shoprite,ukifika watembelee unaweza pata ya chaguo lako au nadhani kama sijakosea jina imalaseko something like that utapata sauce za pasta.
Ritha T Maoni na Ritha T saa Desemba 28, 2009 1:53pm
eh jamani kumbe nilikua nakosa mengi.duh
big up sana mamiii cherry sasa nimepata vya kupika mwaka mpya.sijui nianze na kipi.
cool Maoni na cool saa Desemba 28, 2009 2:41am
woooooooooooooow asnate best ngoja nichukulie mazoezi kabisa nikichemka nitakwambia ili unielekeze plz ila thanx so mucho
cherry Maoni na cherry saa Desemba 28, 2009 12:49am
Clara aka c aka cool recipe ndo hii basi ulioomba

MAHITAJI

1)Lasagne sheets


2)tomato & creamy lasagne sauce


3)Nyama ya kusaga(kima) kiasi upendacho
4)kitunguu maji kiasi
5)carrots,viazi ulaya,aubergine,pilipili hoho (kwa ufupi upendavyo mwenyewe au usitie kabisa yote ni sawa mie hupenda hizo mboga mboga)
6)cabbage kiasi upendacho
7)chumvi kwa ajili ya ladha

MATAYARISHO

1)Tia maji kwenye sufuria kubwa tia chumvi kidogo tu kwa ajili ya ladha yakichemka tia lasagne sheets zako(fata maelezo ya paki utakayo nunua mie hupenda za whole wheat).Wakati unachemsha pasta zako,kaanga vitunguu kiasi kwenye mafuta,tia nyama ya kima ukiona imeiva kiasi
2) tia mboga zote kasoro aubergine na cabbage
3)ukiona mboga hizo nazo zimeiva kidogo tia aubergine usiliache likaiva sana
4)mimina tomato sauce kutokana na kipimo cha nyama yako,acha ichemke kwa muda
5)Chukua trei ya bati au zile za vigae unavyoweza kuokea,mwaga maji ya pasta ulizokua ukichemsha,anza kupanga kwenye trei mwanzo mpaka mwisho,halafu chota lile rosti la sauce ulio kaanga tia juu ya pasta ulizo tia kwenye trei,ukisha mimina creamy sauce kama unayo, kama huna haina tatizo.Ukimaliza kutia kiasi cha creamy sauce anza kutandika pasta zilizo baki juu ya hio sauce,ukifatiza na rosti halafu creamy sauce tena kwa juu.Juu yake mwagia cheese ya mozzarella ambayo ime kwanguliwa kwa kutumia kikwanguzo cha carrot(grater)eneza juu kote kufunika ulicho kitia kwenye trei,kisha tia kwenye oven, mie cooker langu linatumia namba 1-9 hua naweka Gas mark 6-7.Jaribu kutoweka moto mkubwa sana.Jipe kama dakika 25-30 fungua uangalie kama cheese imeyeyuka na kugeuka rangi kama bado basi ipe muda kidogo itategemea na kiasi ya vipimo ulivyo tumia.

6)Kaanga kitungu kwenye mafuta kidogo sana,kisha tia cabbage ikaange na vitunguu mpaka ikisha toka maji yote,tia chumvi ya mbali na hapo inakua tayari kwa kuliwa na lasagne yako.

7)Tumia kisu kukata mapande na tumia upawa(spatula) kuchotea, pembeni ya sahani weka cabbage yako tayari kujitafuna.Kwa picha ya lasagne ikiwa tayari angalia hapo chini.

Miss cool ukisha pika nambie imetokaje.
cherry Maoni na cherry saa Desemba 26, 2009 6:42pm
Hahahaaha,pole cool.
cool Maoni na cool saa Desemba 26, 2009 6:39pm
natamani kupasua pc kwa uchu hahhaha
cherry Maoni na cherry saa Desemba 26, 2009 6:14pm
Mkiamka huko mlikojificha karibuni HOMEMADE LASAGNE NA CABBAGE.


cherry Maoni na cherry saa Desemba 24, 2009 7:24pm
Nawe pia CUTE sikukuu njema,humu wapishi naona wameenda likizo.
CUTE Maoni na CUTE saa Desemba 24, 2009 6:20pm
WADAU WOTEWA MAPISH NAWATAKIA XMASS NJEMA
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter