FotoBaraza.Net

chakula cha kikikuyu hapa Kenya,mahindi masafi yachemshwe kwa nusu saa,alafu maharagwe masafi yangezwe kwenye sufuria ili yo mekoni.mahindi na maharagwe yaendelee kuchemka kwa mda wa masaa mawili,kisha yaanguliwe.yachonge majungu yako kwa kuyaambua na kuyakata katika vipande vidogo,kisha uyakaange kwa dakika kumi kisha uongeze chumvi na mahindi na maharaggwe.ubunifu wako utakusaidia kuwa na mlo mtamu zaidi wa kgitheri,kama vile kuongeza maboga, avocado na kadhalika.

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

Ebana hapo ni full wanga! Lazima uwe na mke mvumilivu!

Jibu Hoja Hii

Hii nilishakula kuwa kina Makara, Githau na Wairimu. Ni nzuri

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter