FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: masaa 22 yaliyopita

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad masaa 22 yaliyopita.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 11, 2008 6:00pm
I saidddddddd it.where is My kaka Michuzi Jamani?
manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 11, 2008 5:44pm
Mambo yanaenda ya kiongezeka mbili tayari dak ya 79 kibabu chetu kimefunga rayan giggs mambo poaaa
Babukadja Maoni na Babukadja saa Mei 11, 2008 7:29am
Ushindi kwa mara ya kumi na saba ni lazima, nani anabisha. Mi wala siwaonei aibu eti.
Eraxman Maoni na Eraxman saa Mei 11, 2008 4:13am
Man united daima!! Japo wazee wa darajani Salender wanatuombea njaa

Eraxman Maoni na Eraxman saa Mei 11, 2008 3:49am
man u daima
manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 11, 2008 12:36am
No doubt 2morow
john mwakyusa Maoni na john mwakyusa saa Mei 10, 2008 9:27pm
Jamani , napata shida kidogo kuangalia mechi za kesho. sijui niangalie au??? 11 MAY-WHATEVER HAPPENS I WONT 4GET-Kwa nini , nitawaambieni kesho jioni.
Young Maoni na Young saa Mei 10, 2008 3:23pm


RockYou FXText
Young Maoni na Young saa Mei 10, 2008 3:02pm
hapa mpaka kieleweke



RockYou FXText
Young Maoni na Young saa Mei 10, 2008 2:58pm
mkubwa hapa umefanya la maana sana na tuone hali iko vipi maana tuna viwili viko kwenye kilengeo
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter