FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad 1 day ago.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

Babukadja Maoni na Babukadja saa Mei 14, 2008 9:39am
Sikilizia wazee wa darajani watakavyotoka vichwa chini. Manka umesema sawa kabisa timu zingine ni kujipa magonjwa ya moyo tu, chama ni Man-U pekee.
manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 12, 2008 8:57pm
kuna timu nyingine bwana lazima ukifika 40's hivi unaugonjwa wa moyo kama chelsea,Arsenal na bwawa la mzee michuzi lakini Man ahaaa wewe mechi ikianza tu unavuta Remote yako roho imetulia tabu iko wapi.
Young Maoni na Young saa Mei 12, 2008 12:58pm
kelele sisi hakuna na makelel ni kutoka vikosi vya mizinga huko emirates na madaraja mabovu,sisi ni vitendo tu.Kazi mnayo kweli kweli kushindana na baba zenu watoto wadogo..............................hah hhaa hhahaa
Ally Maoni na Ally saa Mei 12, 2008 10:07am
wanaochonga walie tuu sasa hao wadarajani ndo tunawataka zamu hii ni wao
Eraxman Maoni na Eraxman saa Mei 12, 2008 1:01am
Shangwe day!!!

Young Maoni na Young saa Mei 12, 2008 1:01am
kikombe cha kwanza tayari na siku kumi zijazo tunatafuta cha pili,mwaka huu kazi mnayo sana mnaochukia man utd
Babukadja Maoni na Babukadja saa Mei 11, 2008 9:50pm
Mwakyusa we acha tu. Aisee Happy B'day mzee. Naona leo utapata mvinyo na mzee Alex kabisa
john mwakyusa Maoni na john mwakyusa saa Mei 11, 2008 8:55pm
kwa taarifa tu ni kuwa tungekuwa kama wale wa darajani ama bwawa la maini tungepiga kelele . lakini si ahhh kimya twashangilia taratibu. ahahahahahahah today is my 38th birthday!!!!!!!!(miaka yaenda mbio ati)
Eraxman Maoni na Eraxman saa Mei 11, 2008 6:39pm
Man ni noma jamani!!
Sir Alex aliruka sarakasi, si mchezo.
Babukadja Maoni na Babukadja saa Mei 11, 2008 6:27pm
Manka we acha tu, yani hapa hapakaliki kabisa leo ni full chereko hadi asubuhi, siwaonei aibu mimi, ahahahahahah!
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter