FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: masaa 23 yaliyopita

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad masaa 23 yaliyopita.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

Babukadja Maoni na Babukadja saa Mei 22, 2008 6:52am
Mi ndo naingia home sasa hivi tokak kwenye ile baa nilikokwenda kuangalia huu msiba wa Wazee wa Darajani. Mi sijui nikoje nikisema tunashinda, tunashinda kweli, ohoooo!
manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 22, 2008 12:09am
sasa ni kulala kwa raha zetu
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Mei 22, 2008 12:08am
Nimefurahi sana sababu hakuna mtu ambaye anastahili na kufurahia ushindi wa leo kama Ryan Giggs. Record yake kwa Manchester United is unbelievable. Hii ni game yake ya 759th for the Old Trafford giants. Bobby Chalton is very emotional.
Young Maoni na Young saa Mei 21, 2008 11:47pm
sisi maneno maneno hatuna vitendo vinasema sana na wakubwa waliobaki ...........teh teh
Young Maoni na Young saa Mei 21, 2008 11:43pm
wazee wa darajani poleni sana na kule old traford ndio party inaanza
Young Maoni na Young saa Mei 21, 2008 11:43pm
wakubwa tunachukua kikubwa chao mpo jamani?hakuna darajani wala kivukoni ni ubingwa tu
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Mei 21, 2008 11:39pm
WE ARE THE CHAMPION!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Mei 21, 2008 3:07pm
Haya tena siku ndio imeshafika. Macho na masikio yangu yote ndani ya Luzhniki Stadium, Moscow.
Babukadja Maoni na Babukadja saa Mei 21, 2008 10:27am
Jamani mi leo nitaucheki mtanange pale Mbezi Garden, kama kuna mwanakijiji upande huo tujumuike pamoja. Kila la heri kwa mashetani wekundu. Mambo yataisha jamaa wa darajani wakiwa hoi kwa 2-1
Young Maoni na Young saa Mei 14, 2008 10:53am
chama hakuna mfano wake kocha mmoja miaka 22 sio mchezo kila kitu juu ya mstari
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter