FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: masaa 23 yaliyopita

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad masaa 23 yaliyopita.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

Alfan Maoni na Alfan saa Juni 12, 2008 9:14pm
Man tumekamilika kila idara kuanzia wachezaji, makocha, uwanja, uongozi, mashabiki na kila kitu cha muhimu katika soka. Hakuna anayeweza kusimama mbele yetu 2008/9.
SANDIA John Maoni na SANDIA John saa Juni 2, 2008 4:09pm
kama utazungumzia habari za SOCCER halafu usianze kuitaja MAN UTD basi utakuwa una majungu!!kila mtu anajua kuwa MAN ipo juu....juuuu.....juuuuuuuuuu....juu zaidi!!!!
MAN UTD THE GREATEST!!
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Mei 27, 2008 1:25pm

mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Mei 27, 2008 1:21pm

haya haya
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Mei 27, 2008 1:20pm
hehehe! tangu lini baba akawa na miaka 37 na mtoto wake wa kuzaa akawa na miaka 73?
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Mei 27, 2008 1:18pm
Man Utd vidume
unajua usiposhangilia Man Utd basi wewe umejulia mpira Bar, na ili kutokupata msongo wa mawazo au kumeza panadol kabla na baada ya mechi, shangilia Man Utd ili uwe daktari
KIWINGA jr Maoni na KIWINGA jr saa Mei 27, 2008 11:51am
aaahhhhhhh hakuna kama sisis mashetani wekundu mziki mnene mwane wane.........anayebisha huyo amepungukiwa na kitu kichwani kwake........ONA WALE NAO KILA KUKICHA WANAFUKUZA MAKOCHA HIVI MMEROGWAAA KWANI HUYU KOCHA NDIE ANAYE CHEZA UWANJANI,,,,,,,SI TIMU YENU NDIO MBOOOOVUUU..........
manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 25, 2008 10:43am
Chelsea bwana yaani kutwa kuwafukuza kazi makocha wao mafanikio upati kwa siku moja kaka tatizo la boss wao apendi kushindwa ndio maana sio mshindani nisawa na mtoto mwenye miezi miwili anang'ang'ania kuingia kwenye mashindano na watu wenye umri wa miaka mitano sasa ndio mambo ya chelsea na man utd.haya bwana msije turoga bure sisi kwetu hatujui uchawi mafanikio yetu yanapatikana kwa juhudi zetu binafsi ndani ya baba yetu AREKSIII
manka mushi Maoni na manka mushi saa Mei 23, 2008 4:18pm
ETI JAMANI NIMESIKIA KA STORY FULANI MTAANI ETI MICHUZI AMEAMUA KUHAMIA MAN UTD KISIRI SIRI NI KWELI ?KAMA NI KWELI BASI BRO UNAKARIBISHWA SANA
Elly Maoni na Elly saa Mei 23, 2008 2:39pm
Yaani kuhusu sisi usipime kabisaaaaa....Watoto wa Darajani tumewachapa Carlic wakaasema eti Bonanza,tumechukua Premiership wakasema tunanunua marefa na sasa huku Ulaya watasemaje??
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter