FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad 1 day ago.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Loading feed

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Januari 15, 2009 2:36pm
MAN UTD 3 - CHELSEA 0
MAN UTD 1 - WIGAN 0
BADO POINT 2 TU TUKAE JUU PALE WATAKOMA NA ROHO ZAO
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Desemba 24, 2008 9:28am
hivi tuna makombe mangapi Mungu wangu hadi nashindwa kuhesabu.
Frank Michael Maoni na Frank Michael saa Desemba 24, 2008 7:10am
Hii ndo Man utd watu wakae chonjo kny Premeir League tunakuja na moto uleule wa Japan,kama kawa vikombe vinatuhusu kny museam yetu.
magnus mrema Maoni na magnus mrema saa Septemba 25, 2008 8:27am
moto wetu man u ni kama uleule wa mwaka jana ukifika mwezi wa dec tutakuwa kwenye nafasi yetu ya kwanza mpaka mei
EDO NDAKI Maoni na EDO NDAKI saa Septemba 21, 2008 4:16pm
MAN WANAONGOZA KWA GOLI MOJA NA CHELSEA ZERO..DAKIKA 54
Ekonjo Maoni na Ekonjo saa Agosti 23, 2008 9:15am
Sir Alex Ferguson admits he is "less optimistic" of making any new signings this summer.

The Manchester United boss has been unusually quiet in the transfer market this year, failing to add any new faces to his double-winning squad of last season.

He has been strongly linked with a move for Tottenham's Bulgarian ace Dimitar Berbatov, but appears to be making slow progress.

The Red Devils chief did admit that he continues to pursue a solitary target, without naming Berbatov as that man, but conceded that he is not confident of completing the deal before the transfer window closes on 1st September.

"I'm feeling less optimistic right now," said Ferguson.

"We are looking at something, but if it doesn't come off then we will carry on as we are."
Ekonjo Maoni na Ekonjo saa Agosti 7, 2008 1:42pm
Manchester United manager Sir Alex Ferguson insists he may not sign any new players this summer.

After claiming the Premier League and UEFA Champions League double last term, Ferguson was never going to overhaul his squad.

However, at least one big signing - with a new striker looking the most pressing need for Ferguson - was expected.

Many of world's top forwards including Dimitar Berbatov, David Villa and Karim Benzema have been linked with Old Trafford.

But Ferguson admits his current squad, although depleted by injury ahead of the new season, may not be added too.
ABEL ISKAL NDUNDULU Maoni na ABEL ISKAL NDUNDULU saa Julai 31, 2008 2:30pm
Man U 2008/2009 kama ni kisiki basi ni cha mpingo,kama ni mnyama basi ni tembo,kama ni nyoka basi ni swila,Arsenal,Chelsea nawaambieni bwawa limeingia luba,FA,UEFA,community shield,Premiership vyote vyetu 2008/2009.
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Julai 30, 2008 1:46pm
hehehe! South walibanaaaa wakaona hata Vodacom ni kama kombe la kuchukulia ujiko Man Utd sasa kalikomba na lenyewe, hivi na hii Community shield si tumechukua mwaka huu!
bobby Maoni na bobby saa Julai 13, 2008 2:35pm
BERBETOV for United,watake wasitake lazima atue Man sasa ndo watakoma zaidi,yaani sijuhi watatukamatia wapi aisee.
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter