FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: masaa 22 yaliyopita

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad masaa 22 yaliyopita.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

Elimanp Maoni na Elimanp saa Februari 26, 2009 7:51pm
Hayaa baada ya kuwapa taabuu watoto wa Intemilan na wakaponea chupu chupu kuchukua kichapo ndani ya sansiro,sasa tunahamishia hasira wembley ambopo tutakuwa na mtanange wa final(carling cup) na hao watoto kutoka london(Tottenham).Siku zote huwa tunahasira na watoto wanaotokea london; kama kawa tunaanzia hapo j`pili kuyakusanya matrofi yetu mwaka huu watatukomaaaa!!!!!!!!!!
Matu Maoni na Matu saa Februari 26, 2009 2:33pm
I mean Jumapili
Matu Maoni na Matu saa Februari 26, 2009 2:28pm
Wadau jmosi pale Wembley itakuwa ni mwendo wa suti kujichukulia kombe la kwanza la msimu huu!!
Mussa  A.B.A  Lindi Maoni na Mussa A.B.A Lindi saa Februari 23, 2009 7:48am
hakuna kitu kingine cha kufananisha bali christiano ronaldo with its fantastic goal
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Februari 19, 2009 2:23pm
HAKYANANI MIE NAHAMA TIMU, KILA SIKU NASHANGILIA TU......
HIVI KWELI SIE TUMETIA GIA YA MBELE WAO WAMETIA GIA YA NYUMA
Elimanp Maoni na Elimanp saa Februari 1, 2009 10:42pm
Hahahaaaaaaa! sasa watoto wa busy bay babes ndo mwendo unaanza kukolea kwani ndo tumeweka first gear,wale wa madarajani,mabwawani na huko kwa washika manati wasahau kuhusu kukalia kiti ahhh no wasahau kukigusa kiti cha machampion tena.Na mwendo sasa ni clean shit sio kushinda pekee hahaa naona rahaa jamaaniiiiii mAn Yuuuuuuuu.
Elimanp Maoni na Elimanp saa Januari 26, 2009 10:46pm
Man u raha tupu na kwataarifa fupi ni kwamba sir Ferguson kanitonya mwaka huu hatuachi kitu hadi kombe za bata tunabeba,maana kila tukiwaachi hao watoto wa Arsenal wenger hata wachukue hilo la bata wanabwela.
Federal Agent Maoni na Federal Agent saa Januari 25, 2009 4:18pm
Wadau long time watu hamjatia maguu kwenye kijiwe chetu cha Man United.Njooni tujadili kinachoendelea kwenye chama letu la Man Yu.
Hassanools Maoni na Hassanools saa Januari 21, 2009 1:13pm
majita manchester ndo baba lao....mwaka jana bado kidogo tu tumwite fagasoni Professor wa mpira maana tungepata na ile FA tungemaliza mchezo...!! kwa kweli tunatisha MAjita....!!!
Young Maoni na Young saa Januari 18, 2009 5:32pm
ugonjwa wa moyo uko kwenye timu moja hivi kama sikosei ni bwawa la ..........maana atujacheza wamejificha sasa wanakimbiza mtu.
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter