FotoBaraza.Net

Maelezo

MANCHESTER UNITED

Huu ni uwanja wa Washabiki wa Machester United wanaoishi kijiji cha Fotobaraza.

Wadau: 56
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

king fahad

mtuchester united

Umeanzishwa na king fahad 1 day ago.

Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY 2 Replies

Umeanzishwa na Abraham Gella. Mchango wa mwisho na Mathew Thomas Kawogo Sep. 18, 2009.

Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo Jun. 15, 2009.

HABARI ZA MAN-U

Loading feed

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MANCHESTER UNITED ili Kuweka Maoni

mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Aprili 16, 2009 10:56am
matu maoni yako poa sana, ila kumbuka man huwa hatuogopi, ukituletea zengwe tunakuchapa mbeleni, sasa hawa Mabata (Liverpool) wameng'oka kwa kuwa kutufunga sisi unapata laana. siku zote mimi nikisema moja wewe ukasema mia ujue mie mia na moja, ndio yaliyomtokea BATA (Liver) wanajiita majogoo tangu lini jogoo akawa na nguvu ya kukaa juu muda mrefu?
Matu Maoni na Matu saa Aprili 12, 2009 2:18pm
Huyu dogo Macheda si mchezo naona kama angeanza toka mwanzo wa msimu angeweza kuwa kwenye top scorer list...Amelinda kweli heshima ya Mashetani katika mechi mbili zilizopita mana hali ilikuwa inakwenda kuwa halijojo
Matu Maoni na Matu saa Aprili 10, 2009 2:14pm
Dalili za wazi ubingwa upo upande wetu natumai hangover ya liver itaendelea mpaka kesho then nasi tunaomba heri sunderland awe kama janmvi la wageni msibani!!
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Aprili 6, 2009 1:29pm
Jamani, tuombe Mungu ubingwa ubaki kwetu, maana hawa madogo wanachonga sana, maana sasa tunaongoza kwa magoli pia
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Machi 20, 2009 2:28pm
Mke wetu kapewa Hausigeli!
Matu Maoni na Matu saa Machi 18, 2009 8:54am
Mdau Bob kwa maneno nimekuvulia kofia ...ngoja tusubiri ijumaa sio mbali!ila nahisi tutamwokota Porto ya Ureno
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Machi 17, 2009 11:22am
hata mke anaweza kukunasa kibao na ukaumia vilevile, sasa huyu si katupiga kakimbia mimi naomba tukutane naye tena Ligi ya mabingwa tumfanyie ukeketaji mbele ya wazazi wake
Matu Maoni na Matu saa Machi 17, 2009 9:53am
Haya shime wadau wa mashetani ..tunasema yaliyopita si ndwele tunaganga yanayokuja...Tunasubiria Draw Ijumaa ya champs ligi..halalahala tusije kumwokota yule mbaya wetu wa Jumamosi ambae ametutembezea kichapo cha fedhea!
Matu Maoni na Matu saa Machi 5, 2009 8:16am
Mkakati uliopo ndo huo wakuchukua makombe hayo...kazi ipo kwenye Champions League ndo kutakuwa na kazi ya ziada ..kwenye Ligi hili gap litahalalishwa kuwa la kudumu tukimalizana na Liver pale vingunguti march 14.Kwa ushindi wa jana zidi ya Magpies naona tunaendelea vyema na mchezo wetu mkononi na pompey!
Hassanools Maoni na Hassanools saa Machi 3, 2009 8:35pm
majita mnaonaje tukichukua makombe yote manne mwaka huu.....namaanisha UEFA, FA, Calling tumeshachukua na Premier League! mnaonaje majita....nambieni tufanye kweli....ni wenu GIGGS.
 

Wadau (56)

mujydebubyz Ndekia Young Mathew Thomas Kawogo EDO NDAKI Mama Malaika Federal Agent Byanaku - Chui Mfalme Geen Askofu Franklin Hussein Suleiman bobby Ekonjo Abraham Gella king fahad Babukadja Haki Ngowi Emmanuel Mwandosya john mwakyusa manka mushi Eraxman Ally mariana Prezzo lukundo FELIX Hassan Nganzo Elly steve KIWINGA jr Otty
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter