FotoBaraza.Net

Mijadala ya MANCHESTER UNITED (13)

← Rudi kwa MANCHESTER UNITED
Mijadala Replies Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita
king fahad

mtuchester united

mtuchester united fans wote nakusalimieni tuwe pamoja mwanzo hadi mwisho.

Umeanzishwa na king fahad

0 1 day ago
Abraham Gella

MAN UTD VS MAN CITY

Hawa watoto wadogo wanapagawa na pesa za yule mwaarabu sasa this wikend watajuta kwnn wanatokea the city of MANCHESTER

Umeanzishwa na Abraham Gella

2 Sep. 18, 2009
Jibu la Mathew Thomas Kawogo
Mathew Thomas Kawogo

Nani abaki nani atoke Man U?

Jamani mwenzenu naomba mchango wenu. nani abaki nani atoke. kwa kuanzia naona niwaambie; Kwa mawazo yangu Berbatov na Neville wangefunguliw…

Umeanzishwa na Mathew Thomas Kawogo

0 Jun. 15, 2009
Geen

KAMA VP LIGI YA UINGEREZA IITWE MANCHESTER UNITED PREMIER LEAGUE

Kila mwaka mabingwa sisi basi jina la ligi libadilishwe 2jue moja !!!! au mnasemaje wadauuuu

Umeanzishwa na Geen

1 Mei. 21, 2009
Jibu la Byanaku - Chui Mfalme
Young

2008-2009 title(kikombe)

so solid united we stand

Umeanzishwa na Young

0 Mei. 17, 2009
Ndekia

MOURINHO KUMRITHI SIR ALEX FERGUSON A.K.A FERGIE

Jose Mourinho of Inter has refused to rule out the prospect of a switch to Manchester United later in his managerial career. The Portugues…

Umeanzishwa na Ndekia

0 Mar. 9, 2009
Federal Agent

I BET I CAN FIND 1,000,000 WHO HATES ARSENAL!!

Jiunge na hili kundi kama uko Facebook,its very funny. http://www.facebook.com/home.php?#/group.php?gid=9116785302

Umeanzishwa na Federal Agent

0 Jan. 24, 2009
Ndekia

Mchezo wa leo

leo chama chetu na bwawa la maini wanacheza,sisi tukiwa wageni hizi ni mechi ngumu mnazungumziaje wakuu kutokana na mchezo wa leo ???

Umeanzishwa na Ndekia

3 Oct. 22, 2008
Jibu la mujydebubyz
Ndekia

Wadau

leo chama chetu na bwawa la maini wanacheza,sisi tukiwa wageni hizi ni mechi ngumu mnazungumziaje wakuu kutokana na mchezo wa leo ???

Umeanzishwa na Ndekia

0 Sep. 13, 2008
Ekonjo

USHINDI WETU WA JANA,,,,, MAN UTD

habari ndio hiyo kaeni chonjo, tunakuja kivingine kabisa si kama mlivyozoea. Watani wajadikaeni chonjo,

Umeanzishwa na Ekonjo

0 Aug. 11, 2008

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter