FotoBaraza.Net

Jacqueline

MAISHA(urembo/mavazi mbalimbali/mahusiano/burudani)

Maelezo

MAISHA(urembo/mavazi mbalimbali/mahusiano/burudani)

MAISHA-Ni neno pana lililobeba sheheni mambo mbalimbali yaliyopo ndani ya jamii kama vile mavazi mbalimbali, mahusiano, burudani,urembo na mengineyo lukuki.Je wewe unalizungumziaje 'unalidadavuaje' neno MAISHA?

Tovuzi: http://fotobaraza.ning.com
Wadau: 9
Latest Activity: Dec. 28, 2009

Uwanja wa Mijadala

Anzisha Mjadala

Nobody has added any discussions yet! Add a discussion to get started.

Anzisha Mjadala

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAISHA(urembo/mavazi mbalimbali/mahusiano/burudani) ili Kuweka Maoni

Jacqueline Maoni na Jacqueline saa Desemba 14, 2009 9:24am
karibu sana kaka damnan na karibu sana
damnan Maoni na damnan saa Desemba 14, 2009 9:14am
haya waugwana nami nimejiunga na kikundi hiki cha maisha. ni kikundi cha kuelimishana maisha kwa jumla na kina manufaa yake kwa hivyo nipo pamoja na nyinyi chao
Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Agosti 15, 2009 1:46am
Maisha bwana!!! Mmmm!!! nadhani kila mmoja wetu ana jinsi anavyoweza kuyaelezea!!
Kwangu mimi maisha siyo magumu saana kama wengi tunavyo dhania.
1.Nianze na UREMBO! Nadhani dada Jack apa analenga warembo wetu,bila shaka ma miss!!! sanaa hii bwana wengi wetu wanaichukulia kama uhuni,ila siyo,inategemea na ni jinsi gani umejipanga kabla ya kivamia sanaa hii! how serious u her!!wengi ktk sanaa hii ya urembo,wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana,na wengine wamejikuta wakiishia pabaya kwa kutojua kilicho wapeleka kwenye hiyo sanaa!! kikubwa kikichangiwa na ulevi,madawa ya kulevia nk.
2.MAHUSIANO.
Maisha katika suala la mahusiano bwana!!!! hapa patamu sana!!!!kwa kweli ni vigumu sana kuelezea kwa vile kila mmoja wetu ame expriece kwa njia tofauti,ila........ni mada ndefu sana,na kuielezea hapa!!!!vidole vitaota sugu,labda kwenye vikao vyetu tuwe tuna yazungumzia mambo kama haya...italeta changa moto zaidi,kwani tuta yajua mapungufu yetu,wapi tulikosea,na nini cha kufanya baada ya kosa kutendeka,
Sarah Maoni na Sarah saa Agosti 14, 2009 7:11pm
Kweli Dunda
Dunda Maoni na Dunda saa Agosti 14, 2009 5:25pm
Na maisha ni safari ndefu kama mdomo wa mbuzii kama tupo kuna wengine walikuwepo na hao watakao kuwepo oind hatupo watasema Kuh maisha kweli safari isiyo tabilika
 

Wadau (9)

Jacqueline Dunda araway Sarah Oswald Jonh Akyoo jafarie chikojo Ritha T damnan Juto
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter