FotoBaraza.Net

Maelezo

ARSENAL FC

Tovuzi: http://www.arsenal.com/index.asp
Wadau: 25
Latest Activity: Dec. 13, 2009

Uwanja wa Mijadala

Rodgers .G.  Mmari

TUTAWAWEZA CHELSE

Umeanzishwa na Rodgers .G. Mmari Apr. 9, 2009.

Kisusi

Je tuna uelekeo wa kuchukua kombe msimu huu?

Umeanzishwa na Kisusi Jan. 14, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa ARSENAL FC ili Kuweka Maoni

Yericko Nyerere Maoni na Yericko Nyerere saa Desemba 13, 2009 1:00pm
Leo tunawauwa majogoo wa Anfild
Kisusi Maoni na Kisusi saa Septemba 14, 2009 12:11pm
Ni mapema sana kuzungumzia mustaqbali wa timu lakini kwa uelekeo huu kuna matumaini ya kwamba huko mbeleni tutafanya vizuri zaidi, timu si mbaya, tunapungukiwa uzoefu tu na stamina lakini kadri vijana wanavyokutana na miamba ndivyo wanavyoongeza ujuzi.

Adebayor anataka kuthibitisha kuwa kuondoka kwake kulikuwa sahihi, kama utujuavyo tena waafrika, cku zote huwa tunatamani yawakute mabaya pale tunapotoka, mfano ni mke aliyeachika, ndo anafanana na Adebayor, atakacho yeye ni kuona Arsenal wanaharibikiwa katika ligi, mi simshangai, ila mwisho wa siku soka ndo litaamua!
Innocent Shayo Maoni na Innocent Shayo saa Septemba 14, 2009 11:56am
Hali japo ni tete Lakini Bado tunayo nafasi ya kuwa mabingwa mwaka huu!
Ila alichokifanya Adebayo Siyo Issue wala nini!
Maingu Maoni na Maingu saa Agosti 20, 2009 8:35am

Maingu Maoni na Maingu saa Agosti 20, 2009 8:29am
haya wadau kipyenga ndio hicho kimeanza kwa 6,1 na 2,0.
Mwaionaje timu kwa michezo miwili hiyo,...?
ed Maoni na ed saa Aprili 9, 2009 5:29pm
Du kusema kweli Arsenal imecheza vizuri. Tuombe Miungu yote ili ichukue kombe. Go gunners!!!
Rodgers .G.  Mmari Maoni na Rodgers .G. Mmari saa Aprili 8, 2009 5:50pm
wajomba aise mnajua kwa sasa tunapanda
Bigambo Maoni na Bigambo saa Machi 19, 2009 3:13pm
Ondoeni Shaka msimu huu angalau tuatachukua kikombe kimoja tena chenye hadhi, naweza onekan niko ndotoni lakini ukweli ndo huo.
dachi.com Maoni na dachi.com saa Februari 21, 2009 11:08pm
kukosa kwa furaa katika timu yetu inachangiwa nakocha au wachezaji?kwanini tumekosa laha kama sisi sio timu kubwa yani wanaongea wao tu kama nikocha basi abadilishwe.au wadau wenzangu mnaonaje hapo?
Kisusi Maoni na Kisusi saa Januari 14, 2009 11:07am
Kiukweli kabisa Arsenal ili tupate mafanikio twatakiwa kupata kocha mwenye mtazamo tofauti na Wenger, huyu babu yetu ameshapoteza muelekeo kabisa, maana mawazo yake yameshafikia mwisho kutokana na umri na uwezo wake wa kufundisha.
 

Wadau (25)

Kisusi Rodgers .G.  Mmari muttubantu IceCool Eraxman candy1 Bigambo Rav4 Mushaija Maingu kibunango Efrem Chris beka komredi ed Ndenje Minja G! Innocent Shayo Atomic dachi.com michael Allan adrian erick ngajilo Yericko Nyerere
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter