FotoBaraza.Net

Assalam Aleikum Waungwana, mi nipo ndani ya mfungo lakini hanizuii kuleta mada ili tusaidiane kimawazo yawezekana ikawa mimi fikra zangu ni potofu na hazina maana katika hili naomba usaidizi tafadhali. . . IVI ina maana gani mtu maarufu anapotutoka/ kuaga dunia basi zinamiminika msg kibaooooo kwenye vilonga longa vyetu zikiorodhesha wale wote waliootangulia mbele ya haki si kwa maombi lakini inakuwa kama kichekesho flani, na ukiiopokea ile msg na unaiforwad kwa mwingine at the end unakuta karibu dunia nzima msg hiyo imeenea, Swali langu ni kwamba je Tunamsifia yule Marehemu au Tunamdhiaki/ kumkashifu? Nisaidieni Wadau

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter