FotoBaraza.Net

Don Magere

UMEISHAKUTANA NA UJUMBE HUU??????????? JE UMEINGIA MKENGE KUJIBU? ????????

hear dear lovelingmartines2008@yahoo.com
fotobaraza.ning.com/profiles/members/
How are you today, I hope all is well. My name is mary , I am very tall good looking perfect body figure girl kind , sincere and trusted, God fearing.And,I saw your advert and was delighted to contact you, I hope you will be the true loving, honest and caring man that I have been looking for, And I have something special to tell you about me, So please contact me directly through my private email address at : so that I can also send my picture directly to you. Remeber that love has, no colour barrier, religious,nationality or distance barrier, but love matters most,my happiness/ my joy all is in your hands,please don't let me down ok. I will never stop loving you, regards i kisss you, I will be waiting for your response loveling

Hajali kama wewe ni mwanamke au mwanaume wote twende tu.....mtajuana mbele ya safari!!!!!!!!!!!!

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

duh! ebwanaee!

Jibu Hoja Hii

hahha hata mie nimeupata nikaufutilia mbali nahisi ni wapopo hao lol

Jibu Hoja Hii

Mie sijapata ujumbe kama huu.

Ujue hii hatari sana....

Jibu Hoja Hii

mimi nilipata ujumbe huu mara nyingi tu. Lakini yeye alidai kwamba si mpopo ila m-Liberia. Nilizifuta zote.

Jibu Hoja Hii

hahahaha mimi niliupata na baada ya dakika kadhaa my wife nae akaupata waw tulivyo kuwa tunaujadili bila ya kupata jibu mtoto uncle nae twende na ana miaka kumi na tatu hahahah mapopo kweli nuksi lakini wao waliufuta mimi kichwa mkuki nikamtumia picha zenye virus nanaikili itakuwa kauwa computer yake ajanijibu tena

Jibu Hoja Hii

safi

Jibu Hoja Hii

Na mimi nimeshapata ujumbe kama huu, ila sio mara ya kwanza! wapo wengi ambao huwa wanatuma mijumbe kama hii, na mara nyingi huwa hata siumizi kichwa, maana nikiona tu naifutilia mbali!

Jibu Hoja Hii

Duh hata mm nilishapata chaajabu kila m2 katumiwa awe dume awe jike, mi nilimtukana kule g5 lkn kanifwata hadi huku fotob cjui ni mtu wa aina gani? Hiyo c tabia nzuri kuchorana

Jibu Hoja Hii

kumamae anatombwa na tabia yake hiyo ya kifala-fala, bora mwana ulim2mia picha za virus kaua computer itakuwa, ila mbona mi kani2mia leo hii huo ujumbe?? may be kaazima computer kwa jirani!!! kumamae sana hatujui eeh!!!

Jibu Hoja Hii

Kaka jaribu kupunguza ukali wa maneno!

Jibu Hoja Hii

hivi huyu jamaa ana matatizo gani? na kama hana matatizo ana dhamilia kutafuta nini hasa? hata mimi nimepata ujumbe huu, nimeshindwa kuelewa kwa kweli!!

Jibu Hoja Hii

Huyo binadamu ana matatizo fulani ya kisaikolojia kama siyo ni wale makanjanja wanaotaka kuibia watu kupitia mtandao! Nimeshamshtukia!

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter