FotoBaraza.Net

Ni muda mrefu sana umepita tangu tujumuike pamoja pale Soma Mkahawani,sasa ni wasaha mwingine tena wa kujumuika pamoja na kusherehekea kwa pamoja kama ilivyofanyika kipindi kile.

Swali ni je mtapendelea tujumuike kwa pamoja lini,na wapi,na michango iwe ni kiasi gani kwa kila mwanakijiji????

Naomba kusalisha kwenu wadau.

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

Tunaomba conclution basi jamani! mbona tuarudia kitu kile kile! Location ni muhimu sana kama wadau wanavyosema! ila kwa reserch niliyoifanya!! mmmm!!! sehemu zote usafiri ni gumzo!!! kwa hy ni bora tukafikia muhafaka na siyo kuendelea kulijadili hili la usafiri kila leo! penye nia pana njia! tukutane! tule raha! masuala ya usafiri yatajiseti tuu! kwanza kwa wanaume si tutakesha hadi asubuhi!!! kwa wale watakao taka kurudi makwao tutapitisha kamchango wapate safiri.....mind u!!! siyo wote watataka kurudi home!!! so let do it!!!!
Mimi naomba kumjua msimamizi wa shughuli nianze kuuwakilisha mchango wangu!!!!

Jibu Hoja Hii

Michango iwe kutokana na eneo la tukio.

Jibu Hoja Hii

Mkishamaliza dar, nitawaalika Zanzibar, uje na accomodation yako tu na nauli, chakula na vinywaji (hasa hasa bia) itakuwa juu yangu. Nawasilisha

Jibu Hoja Hii

Au pale karibu na zhonghua alipokuwa anapiga jd panaitwa kama anghiti sina uhakika nimepasahau jina

Jibu Hoja Hii

Yes! yes! Pale ni pazuri sana! na ww mtoto mzuri ! ulipelekwa pale na nani! Ila ni pazuri sana,pako quet,karibu na barabara na usafiri ni resonable kabisa!

Jibu Hoja Hii

Jr naona umeweka tai ee still single and searching ee?oswald hayo maswali siyo mazuri na wewe ulienda na nani?

Jibu Hoja Hii

Na sehemu ingine pugu kajiungeni karibu na shule ya msingi pazuri sanaaaaa

Jibu Hoja Hii

Mwenyekiti msaidizi, Jr. naomba kuwasilisha hoja,

"Mimi sina tatizo na eneo wala mchango, lakini tusikilize chaguo la wengi ndio lipewe kura zote ili tupate wahudhuriaji wa kutosha"

Mara ya mwisho tulijitahidi sana, tulikuwa watu zaidi ya 35, naomba namba isishuke ili tufahamiane zaidi.

NAUNGA MKONO WAZO 100%

Jibu Hoja Hii

Babukadja ur back?welkam

Jibu Hoja Hii

Kwa kweli kukutana ni muhimu sn, wa nakijiji wametoa maoni yao mazuri tu, sasa mi kwa mtazamo wangu finyu ni kuwa: "Mzee wa Ulimi" Jr ayapitie kwa kina mapendekezo yote na kuyapembua kwa uzuri kabisa hlf tuone wengi wetu tumependekeza lipi ili lichukuliwe na kufanyiwa kazi ikibidi ndio liwekwe tangazo rasmi la kwamba tunakutana lini, wapi na gharama husika kwa kila mmoja wetu ni kiasi gani.

Nawasilisha!

Jibu Hoja Hii

Kwa kweli kukutana ni muhimu sn, wa nakijiji wametoa maoni yao mazuri tu, sasa mi kwa mtazamo wangu finyu ni kuwa: "Mzee wa Ulimi" Jr ayapitie kwa kina mapendekezo yote na kuyapembua kwa uzuri kabisa hlf tuone wengi wetu tumependekeza lipi ili lichukuliwe na kufanyiwa kazi ikibidi ndio liwekwe tangazo rasmi la kwamba tunakutana lini, wapi na gharama husika kwa kila mmoja wetu ni kiasi gani.

Nawasilisha!

Jibu Hoja Hii

Ngoja nijibu swali moja kwa moja kabla sijasahau. Kuhusu lini tukutane kwa mtazamo wangu nadhani ikiwezekana kwanza tukutane jumapili ya tarehe 18/10/2009 pale chaga bite halafu tukiwa pale mambo yote yatapangwa laivu. Nadhani tunaweza tukafikia muafaka mzuri zaidi na kuhusu michango kuna uwezekano mkubwa fedha zikaanza kukusanywa siku hiyo hiyo kwa yule atakayekuwa nazo. Hayo ni maoni yangu tu.

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter