FotoBaraza.Net

Dismas

Ni kweli kuwa kuna dawa/ sindano za kuongeza maumbile ya wasichana/ wanawake???

Nimekuwa nikiumizwa kichwa sana na tetesi kuwa kuna dawa/ sindano za kuongeza ukubwa wa baadhi ya viungo vya wasichana/ wanawake hasa hips na mawowowo. Nashindwa kujua kama ni kweli au c kweli, hebu nitoeni ushamba wa2 wangu nisije nikauvaa mkenge:
1) Niambie kama ni kweli hizo dawa/ sindano zipo.
2) Wapo wasichana wa kibongo wanatumia?
3) Je nitamjuaje msichana ambaye anatumia na asiyetumia? Watu tunataka vitu natural bwana, siyo artificial hahahaahaaaa.
4) Je kuna madhara yeyote kwa wanaotumia?

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

Zipo

Jibu Hoja Hii

hahahahah!!! mkuu nadhani hadi unafikia uhamuzi wa kuuto huu mjadala....teyari umeshapigwa changa la mcho.
Ndugu yangu Dismas upo dunia gani!!! ndiyo maana nkuambiga siku zote wewe bado dogo sana,au reason ni ya wewe kukaa kigamboni!!! cos tabia za kigamboni ni sawa na za wale wala urojo< ndugu yangu Pascal sahani>
1.Hizo dawa zipo,tena za aina tofauti,zipo za miti shamba,zipo za vidonge,zipo na sindano sindano amabozo ndiyo common sana kwa hapa bongo yetu.
2.Ndugu yangu,kwa hapa bongo wasichana wengi ndiyo mchezo wao,ila wengi wao ni wanafunzi wa sekondary na vyuo.
3.Dismas! Dismas! juu ya utamjuaje anaye tumia na hasiye tumia! ni jambo dogo sana,usiyavamie mahusiano ya mapenzi bila kuwa mchunguzi,usidhani kila king"aacho ni dhahabu,kuwa mdadisi,jaribu kuitafuta backgraund ya msichana kabla ya kujitia kitanzimwenyewe.
3.Madhara ni makubwa sana,kwanza madawa hayo yanasababisha kansa,ugumba na hata kifo,japo sijapata taharifa za kifo chochote,kumbuka yaliyo mkuta Michael Jackson,ni mambo kama haya.
Mwisho,Dismas!! sisi binadamu tunahitaji hadhabu tena kubwa sana toka kwa mwenyenzi mungu!!! immaging!! mungu ametuumba kwa mfano wake...sasa manjonjo ya nini!! jamani.....Ufisadi mpaka kwenye mwili!!!!!! kweli dunia imevaa miwani ya mbao.
Haya ni mawazo yangu,najua fotobaraza imejaliwa...kuna wasomi wa kila aina,kuna madaktari,hivyo nawaachia uwanja watupe jibu kitahalamu zaidi.

Jibu Hoja Hii

Os nawe! nilijua tu hutaacha kumsakama mdogo wangu Dis. Mwenyewe kauliza jambo la maana hivyo! kwani anataka ajue ili akiniletea wifi basi iwe dhahabu kweli, na si shaba!

Jibu Hoja Hii

Kaka zipo...nenda manywele beauty cosmetics utazikuta bt funny enough anayeuza hana hayo mawezereeeeee!!mashedede

Jibu Hoja Hii

Mashedede!!!! Hii ndio naiskia leo, ndio mahips au manyonyo?

Jibu Hoja Hii

Yote niliyotaka kuongea Akyoo kayamaliza yote.

Pole kwa kuwa nyuma ya habari.

Jibu Hoja Hii

# Hahahaahahaaaaa! acheni kunivunja mbavu nyie, eti "MASHEDEDE". Kweli yale maeneo yana majina mengi.
# Oswald inaelekea upo fit sana ktk anga hizi, maana umetoa maelezo fresh balaa. Kweli kila m2 na fani yake.

Jibu Hoja Hii

Usijifanye unajifariji ya heti Mashedede unayajua!!! sema leo ndiyo umelisikiahilo neno.
Hii siyo fani yangu bwana mdogo!!! ila nataka tuwafanyie suprise masho wa hapa kijijini,ilitupate kulijua hili kwa kina.......waambie wajiandae...... na zohezi nitaliendesha mimi.

Jibu Hoja Hii

Mimi sipati picha wakizeeka hizo nyama za nyongeza itakuwa vipi? Maana hizi natural tu zinaning'inia za ziada je? Bora waridhike na vijipu uchungu vyao (kama mimi) lol yangu majicho. teh teh teh the eeeeh

Jibu Hoja Hii

Nilidhani utani Dismas ulipoanzisha Mada hii! sasa katika peruziperuzi yangu ya magazeti tando ya tanzania nikakutana na hii ikiwa ni moja ya bidhaa katika maonesho ya sabasaba.

Jibu Hoja Hii

-Nimekubali Magere, duuh! tusipokuwa macho lazima tuuingie mkenge
-Kuna mabinti nawasubiri kwa hamu sana wachangie hii mada, nashangaa wamela pini cjui kwa nn? Au ......................

Jibu Hoja Hii

kina nani???? Naona unataka nikuchape bakora na kukupa red card (just winding you up). LOL............

Ni kweli dawa hizo zipo na zina madhara makubwa tu. Na kwa wale ambao wanapoteza pesa zao ajili ya kuongeza makalio, ni bora wafanye mazoezi ya 'HIP LIFT UP' kwani yanasaidia sana tu. Wote kina Kylie Minogue, JLO, Janet Jackson, etc... wametumia mbinu hiyo

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter