FotoBaraza.Net

Kuna habari imeripotiwa kuwa hadi sasa watu 12 ambao ni moja ya wapenzi wa mwanamuziki maarafu wa Pop duniani (Michael Jackson) aliyeaga dunia wiki iliyopita, nao wameamua kufupisha maisha yao kwa kujiua (commit suicide) sababu ya majonzi. Sizani Michael Jackson mwenyewe angependa kitu hiki kitokee kwa wapenzi wake.... Sijui wenzangu mnaonaje hoja hii...????

Kwa maelezo zaidi bofya hapa
http://news.sky.com/skynews/Home/UK-News/Michael-Jackson-Reports-Of...

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

kweli kabisa Waridi...

Jibu Hoja Hii

Hiyo ni tabia ya watu waoga wasioweza kukabiliana na matatizo wanaamini kifo ni suluhisho la tatizo.....nani acyempenda huyo?wakumbuke kila chenye uhai kuna kifo ndani yake...asalam aleykum wadau

Jibu Hoja Hii

Waleykum mtoto mzuri.

Jibu Hoja Hii

Labda wana asili ya Unyalu lol

Jibu Hoja Hii

Wanyalu ndio zao eeh kweli. Vadonde umesalimika kwa kifo cha Jackson?

Jibu Hoja Hii

Ebwan mie nashangazwa kiasi kikubwa na mtu anae amua kujitia muhanga kiasi cha kuyaona maisha yake mwenyewe hayana umuhimu. Lkn ninachotaka kusema hapa ni kwamba jamani, kitendo cha kujiua kipo inje ya maadili ya dini zote za mungu hivyo basi inawezekana hawa watu hawamjui mungu wala hatambui kitu gani kitakuwepo baada ya maisha haya ya duiniani.

Jibu Hoja Hii

akili ni nywele kila mtu ana zake, ndio maana kuna vipara, vipilipili, siwalaumu inawezekana ndio mpangilio wa maisha yao ya kuishi ilikuwa wanaishi kwa pumzi yake

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter