FotoBaraza.Net

Yupi kati ya hawa ni ndugu yako wa damu hasa

1. Mliyezaliwa na Baba mmoja au (mnayechangia baba)

2. Mliyezaliwa na Mama mmoja? (mnayechangia mama)

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

All of them

Jibu Hoja Hii

Nafikiri ni yule wa baba mmoja na mama mmoja.

hii tabia ya kuchangia mzazi mmoja mhh!!

Jibu Hoja Hii

mwanao!!!

Jibu Hoja Hii

Mh hata mm hili swali huwa linaniumiza kichwa, ila mimi naona ni wote tu

Jibu Hoja Hii

Hapa naona ni uwanja mpana sana!
maana undugu upo wa aina nyingi kutegemeana na jinsi mtu atakavyodefine mwenyewe.
Kutokana na Bilogical points of view inawezekana huyu ndugu wa damu akawa ni yule mliezaliwa nae toka kwa mzazi mmoja kama ulivyodai hapo juu.
lakini pia huyu ndugu mliezaliwa nae toka kwa mama mmoja au baba mmoja inawezekana mkawa hamna group moja la damu sasa siji hapo utamkataa kuwa sio ndugu yako wa damu???(mimi sijui)

Jibu Hoja Hii

kwa mtazamo na mawazo yangu ndugu wa dam ni yule mliyezaliwa mama mmoja maana hapo kunakuwa hakuna utata kwamba wote mmetoka ndani ya tumbo la mama husika.

Jibu Hoja Hii

"Duh"

Jibu Hoja Hii

Hata mimi bado sijui

Jibu Hoja Hii

iwe mmechangia mama au mmechangia baba basi wote ni ndugu wa damu. No comment

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter