FotoBaraza.Net

Wewe ni mvulana mwenye umri wa miaka 30, Umelewa na upande mmoja tu yaani baba pekee, kila ukiuliza mama yako, baba hakupi jibu la maana, katika pilipilika zako za kutafuta maisha unahamia nji mwingine mbali na baba yako, unabahatika kupata kazi na unaamua kuoa, unaoa mke amekuzidi umri sana tu na mnabahatika kupata mtoto wa kiume, siku moja unaamua kurudi kwa baba ili umtambulishe Mkeo na mtoto. kufika kijijini baba mara baada ya kukuona badala afurahi anaangusha kilio, kuuliza kulikoni Baba anajibu ULIMUOA NI MAMA YAKO MZAZI. Sasa hapo nani wa kulaumiwa? BABA KWA KUKOSA KUONYESHA MAMA MZAZI WA MWANAE au MTOTO KWA KUOA MKE KUZIDI UMRI WAKE?

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

Mmmh hii kali na iasikitisha kwa kweli ,kwa mimi naona yule baba ndie mkosaji na wakulaumiwa kwa kutomuonyesha toto wake mzazi wake hata picha.kuhusu mtoto kuoa mtu mkubwa sio kosa kwani mapenzi hayana umri.mtoto kadeka na bii mkubwa kamdekesha ile ki haswa haswa maana hakumlea utotoni hivyo kalipiza two in one.

Jibu Hoja Hii

Duh! hatari namna hii! Mungu anisaidie nisije nikaangukia japo kwa mama mdogo

Jibu Hoja Hii

Kabla ya kuowana walitakiwa wajuwane kwanza, unatokea wapi mwenzangu? kijiji?, unawatoto kabla? nk Wenye ndoa ndio wakujilaumu .

Jibu Hoja Hii

Bby Candy:-) mada yako ni nzuri sana na yenye trick!!!!!! Unajuwa kama Baba yake alikaataa kumtajia Mama yake alipo, pengine alifanya makosa inafaa alaumiwe, na pia angalia upande mwengine kama je, Mama huyohuyo alimtupa mtoto wake kwa hasira na kwenda zake anakokujuwa bila jamii nyengine kujuwa ukweli basi na Mama nayeye anfaa alaumiwe......Pia mtot kama yeye mwenyewe aliamuwa kula raha na Mama asiemjuwa kiundani, na Mama pia akafanya hivyo kwa kijana aliekuwa hajaamuuliza kiundani anatokea wapi na Baba yake nani, Mama na mtot pia walaumiwe............sasa utaona mama ananafasi mbili za kulaumiwa, so Mama alilaumiwa kwa kwa kumtupa mtoto wake kwa baba yake haliyakuwa alikuwa mdogo ndiomaana Baba akashindwa kumueleza mtoto wake kwa uchungu alionao, na Mama huyo huyo ndie alieshindwa kumuuliza vizuri kijana yule alikotokea niwapi...mmmmmmmh jamani tuwe makini sana kuamuwa jambo!!! Inafaa tuchunguze kabla ya kufanya!!!!!

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter