FotoBaraza.Net

araway

KWA WANAUME TU (no ladies plz) usipige chabo tafadhali!

jamaniee hii nimeikuta kule kijiji cha jirani!kwakweli imenifanya wkend yangu iishe kwa kicheko,naomba kushare na nyie.swali la kivushi.....!
Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

tena mluzi ungekuwa unatoka kulingana na ukubwa wa chululu yako. The bigger the uume the more the more the whistle!! Vadonde na Jack mbona sisi hatuingii kitchen party zenu? Ni nini hasa mtakacho?. Oswald watoe watu wako,wewe ndo una dhamana ya kulinda geti maana wewe ni mmasai tena unaeweza piga mluzi mdogo!

Jibu Hoja Hii

Uwiiiii dah! hii mada komesha mbona?

Jibu Hoja Hii

hahaaaaa mtoeni oswad lol

Jibu Hoja Hii

aaah, mie naona ingefaa sana manake za jamaa wengine zingekuwa na sauti nzito kama VUVUZELA kule kwa mzee Zuma teheteheeeeeee!

Jibu Hoja Hii

Hahaaaaaa jamani, hata mi ningeomba iwe hivyo nichekeeeeeeeee

Jibu Hoja Hii

EEeehh bwana hiii noma!? kali ya mwaka......

Jibu Hoja Hii

Lazima tungepata ujanja wa kuzituliza kama vile kuzilambisha ndimu ili zishindwe kupiga mluzi, au unaibandikia ice inasinzia!

Jibu Hoja Hii

hahaha mkuu inamaana tungegundua milusi proof!! ingekuwa vipi kwenye shindano la kumsaka miss tz alafu muda wa vazi la ufukweni, kelele zake duh milusi ya kina lu..denga ingekuwa vipi? ni mawazo tu

Jibu Hoja Hii

hapo ingekuwa powa kabisaa.
Ukipita city centre ungekua uansikia milio tu kama madondola flan hivi,...lol

Jibu Hoja Hii

Araway umekuwa matawi loo sasa umesingizia mafuta umepewa ofa hujajibu mhh umeshaanza kuweka ugumu siku ya jumamosi loo wewe unatakaje au unataka uwe pedeshee that day au unataka kama siku ile nilipokukuta kaunta ya juu hata maana sikumbuki uliondoka saa ngapi?bwana uje wangu loo nimekumiss kwelikweli tokea mwaka jana sijakuona...

Jibu Hoja Hii

Kudadadako!! Hivi umefikiria nini we kijana hadi kuamua kuja na hii kali kihivii:) Kweli ingekua issue.... Hasa pale wanapotokea maduu wakaliii mzeyaaa!!!!

Jibu Hoja Hii

Utawajua tu!

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter