Habari zenu mabibi na mabwana?
Mnaweza kunipa madhara ya USAGAJI? ninaposema usagaji nina maanisha Ufanyaji wa ngono kati ya mwanamke na mwanamke! nadhani mmenielewa!
Naombeni majibu yenu
Thanx
Lucie! Lucie! si unawaona wadau walivyo shtuka kwa swali lako!!
Sasa ata mimi nimeanzakupata picha ya maswali yangu ya kila siku juu yako ww!!
ILa........kwa ninavyojua mimi,kila jambo au kitu chochote! kina advantage na disadvate zake!
Kwa hili la kwako mama ni hasara tupu!! hakuna fahida yyt! kwanza...wanawake wanaosagana uambukizwaji wa HIV kwao ni mkubwa sana kutokana na njia wanayoitumi!! naiweka kwenye mabano! pia hawawezi pata mtoto! na pia uwezekanano wa kuja kumpata mwanaume na aridhike naye inakuwa ngumu kutokana na mwanamke msagwaji au msagaji hawanaga hamu na wanume kabisaaaaaaa!!!!
kwahy mdogo wangu! kama ulitaka kuji invest kwenye hicho chama!! don't do it!! we Love u Lucie! ata mzeee wa Domziiiiiii!! amekushangaa sana!!
Sijasema kama nataka kujiunga ila nilitaka kujua hasara zake, Nijuavyo mm kuna faida lkn hasara siijui so nilikuwa nataka majibu tu! Hata hivyo asante umenifungua macho japo si saaana.
Ndiyo kila kitu kina faida na hasara, sasa nataka kujua hasara ya haya mambo. Kama mjuavyo madhara ya ushoga basi mnipe na madhara ya usagaji.
Pa1 wangu,