Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Jamani kuweni waangalifu sana.....Unajua hakuna siri ya wawili....wahusika wanajijua, nawaeleza kuwa mambo mengine hayapendezi.
Yaani sina mbavu.
Kwe kwe kwe
Kwe kwe
Ingekuwa wewe imekutokea ingekuaje?
PamoJah
Mhhhhhhhh! Haiwezekani kabisa!!!!!!
Hii inathibitisha kuwa kweli umepewa kitu kidogo ukae kimya, noma sana mkuu.
Anyway, ila kwa upande mwingine ni bora umepata vijisenti vya kutanulia pale Msasani Beach, na wahusika pia umewafichia siri ili wasiadhirike na kukimbia kijiji!
Mhhh! basi ukiona hivyo ujue jamii yetu ya kitanzania ina matatizo,yani watu wanaunganishwa/wanarudishwa ktk mazungumzo au mkusanyiko kwa kutengeneza ugomvi namna hii.