Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Jamani kuweni waangalifu sana.....Unajua hakuna siri ya wawili....wahusika wanajijua, nawaeleza kuwa mambo mengine hayapendezi.
Yaani sina mbavu.
Kwe kwe kwe
Kwe kwe
Ingekuwa wewe imekutokea ingekuaje?
PamoJah
Bwana abdala mfano wako ni mzuri na unaenda na ishu ilyopo ubaoni! Ila sijaelewa kitu kimoja! unaposema kuna watu wapo fb kwa lengo la kuaribu!!! sijakuelewa vizuri! fill free man!! huu ni wakati wa ukweli na uwazi! wewe sema wanavyo haibu!!!
If our love was a fairytale
I would charge in and rescue you
On a yacht baby we would sail
To an island where we’d say I do
And if we had babies they would look like you
It’d be so beautiful if that came true
You don’t even know how very special you are
Chorus
You leave me breathless
You’re everything good in my life
You leave me breathless
I still can’t believe that you’re mine
You just walked out of one of my dreams
So beautiful you’re leaving me
Breathless
And if our love was a story book
We would meet on the very first page
The last chapter would be about
How I’m thankful for the life we’ve made
And if we had babies they would have your eyes
I would fall deeper watching you give life
You don’t even know how very special you are
Chorus
You must have been sent from heaven to earth to change me
You’re like an angel
The thing that I feel is stronger than love believe me
You’re something special
I only hope that I’ll one day deserve what you’ve given me
But all I can do is try
Every day of my life
Permalink Reply by Dada on Novemba 4, 2009 at 2:54pm
nafurahi kusoma maoni ya wanakijiji kuhusu mjadala huu, kiukweli ni njia nzuri kutowataja wahusika ili MAFATAKI na MABEDUI walioanza kazi yao humu kijijini kusitisha zoezi hilo ASAP.
Pamojah CHA
Dada ebu rajea comment yako! unasema ni bora watajwe majina au wasitajwe!! haiwezekani ukasema ni vizuri wasitjwe na hapo hapo useme mafataki na mabedui watasitisha zoezi walilo lianzisha!
Hivi kwa akili yako!! au kwa fikra zako! hapa fb kuna kitu gani kinachoendelea ambacho ni nje ya malengo ya kijiji!! mbona sija muona mwanafunzi hata mmoja huku! siku hizi ata hao wanafunzi ni wajanja kuliko ata watu wazima! amabo wengi wanainjia kwenye vishawishi kwa njaa na tamaa ya vitu vidogo!Sioni point ya kuhisi kuna ubaya wowte hapa fb wakati ukiambiwa utoe ushahidi utajing'ata ng'ata mdomo!!
Mtu akafanya jambo lolote ni kwa ridhaa yake! toka nimeingia hapa sija pata habari ya mtu yyt aliye bakwa au kuvunjiwa heshima! sasa huo UFATAKI na UBEDUI unao usema sijui unatoka wapi!!! Ebu tujaribu kufikiria mambo ya maendeleo na siyo ya kiuzushi uzushi!
Jamani hivi hamjajua unamuhusu nani?hesabuni comments aliyekoment nyingi ndo huyohuyo maana alichofanya CHA ni kurusha jiwe gizani naye limempata...tena achukuliwe sheria ..&&&& kwa kweli hiyo tabia mbaya hayo mambo ya kizamani au mwenzetu ni.....
Mimi nilidhani ungechangia mjadala kisomi! kutoka na elimu yako! ila na wewe nimegundua ni wale wale! ebu jaribu kuzisoma comment zako! sioni kama zina kiusu kilicho andikwa hapa! sidhani kuandika comment kishabiki zitawafikia walengwa wote! zitamfikia yule tu unaye mlenga! mimi naona kilicho andikwa hapa hakija mlenga mtu mmoja! sasa sielewi umeyapata wapi mawazo ya kusema Hooo!! aliyechangia sana ndiye muhusika! inaonyesha ni jinsi gani I Q yako ilivyo! mimi nadhani lingekuwa ni swali la mtihani!!! watu wengi wangefeli!! si unawaona wenzako walivyo fika mbali! mara MAFATAKI mara Mabedui!! bila kujua kwamba kusema kwamab FB kuna mafataki na mabedi!! ni kuitia fb njia panda!! kuna siku utashangaa wana yaanika magazetini!! sijui kama kuna watu wanajua kwaba humu humu fb ndy maofisini mwa watu! sasa wanavyo bwabwaja!!! kuna siku ataitwa mtu kutoa ushahidi wa alichokiandika.......ata anza ho!! siyo mimi!! so jaribu sana kujibu kile kinachokusudiwa!! Ishu ya kumwabia Araway unamsubiri kwa hamu!!! hapa kuwa paala pake! una cellphone yk!! ungempigia!! tupo pamoja! nothing percenal! ila ni kuwekana sawa tu!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe jamani huu mjadala una cku moja tu umechangiwa namna hii??sasa cha itabidi uwaambie wengine maana wanakufa na kiroho...na wewe araway loo umejuaje??by the way araway nimekumiss jumamoc utatimba dar??nimekuandalia ratiba ndefu itakayokuacha macho
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe kwe jamani huu mjadala una cku moja tu umechangiwa namna hii??sasa cha itabidi uwaambie wengine maana wanakufa na kiroho...na wewe araway loo umejuaje??by the way araway nimekumiss jumamoc utatimba dar??nimekuandalia ratiba ndefu itakayokuacha macho