FotoBaraza.Net

CHA the Great

HA! HA! HA! HA! HA! HA! HA! SIAMINI KAMA MAMBO HAYA YAMETOKEA HUMU.....

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Jamani kuweni waangalifu sana.....Unajua hakuna siri ya wawili....wahusika wanajijua, nawaeleza kuwa mambo mengine hayapendezi.
Yaani sina mbavu.
Kwe kwe kwe
Kwe kwe
Ingekuwa wewe imekutokea ingekuaje?
PamoJah

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

Mi namjua ni huyo Bin Bedui tu..., anajijua mwenyewe

Jibu Hoja Hii

heheheheh ihihihihii ohohoohohoh uhuhuuhuhukwiwkikwikwiwki

Jibu Hoja Hii

Clara nini! au na wewe umeshamgundua!!! hahahahah!!

Jibu Hoja Hii

Bedui letu si ujiweke wazi umefanya nini tena na mtoto wa watu?

Jibu Hoja Hii

anaimefanya uchunguzi wa kina wa hii ishu! ni yakweli! na tusipokuwa makini! fb itameguka kidogo kidogo! tutawapoteza wadau verysoon.

Jibu Hoja Hii

Kumeguka haiwezi, sana sana itaimarika
PamoJah

Jibu Hoja Hii

Oswd punguza umbea. Muone, Kitambi kama tikiti.

Jibu Hoja Hii

Dismas! jiandae mwana! ujui nini kinachokujia!!

Jibu Hoja Hii

Mh .......makubwa ...ngumu hata kumeza

Jibu Hoja Hii

Mbona mi sielewi hii mjadala
Weka wazi tujue ni nini!
mbona wengine umewaambia, kama araway anajua
tuambieni loh

Jibu Hoja Hii

If u real want to know what is goin on! keep read your collige comment!! utagundua tu!

Jibu Hoja Hii

Asante sana mkuu CHA.
Huu mjadala unanikumbusha kisa fulani nilikisoma kitambo kidogo,ambapo,
mshikaji mmoja aliyeibiwa mke wake aliingia bara na kuchimba mkwara; "Aliye na mke wangu ajiandae na umauti" kutahamaki baa ilibaki tupu sababu wadau wengi walikuwa wezi wa usingizi wa watu wengine
Sasa huu mjadala nauona unalenga kuibua underground issues that are happening at fotobaraza
Watu wasio na nia nzuri na kijiji,pamoja na wale wanaoshindwa kujiheshimu wote wataanza kujishuku - kila mtu; "nalengwa mimi nini na ile ishu yangu?"

Safi sana mkuu CHA kwa mjadala wa kifalsafa.

Pia inawezekana kuwa kuna watu washaharibu humu
tchawo

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter