FotoBaraza.Net

CHA the Great

HA! HA! HA! HA! HA! HA! HA! SIAMINI KAMA MAMBO HAYA YAMETOKEA HUMU.....

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Jamani kuweni waangalifu sana.....Unajua hakuna siri ya wawili....wahusika wanajijua, nawaeleza kuwa mambo mengine hayapendezi.
Yaani sina mbavu.
Kwe kwe kwe
Kwe kwe
Ingekuwa wewe imekutokea ingekuaje?
PamoJah

Shirikisha Twitter

Jibu Hoja Hii

Michango ya Mjadala Huu

duh hata mimi sikuamini niliposikia!lakini CHA ulijuaje wewe?

Jibu Hoja Hii

Ina maana Araway unajua ni nini kinaendelea kwenye huu mjadala? itabidi nikutafute uniambie na mimi nifurahi

Jibu Hoja Hii

mabagala siunajua mila zetu zile watu wanatahiria ukubwani sasa jamaa kaidaka imekuwa big pulobulemu

Jibu Hoja Hii

Acha tu Bwana Araway, hii dunia mbaya.

Jibu Hoja Hii

Mh! mbona wengine tuko gizani na huu mjadala! we bw CHA the great?

Jibu Hoja Hii

hahahahaaa huu mjadala kuuchangia kwakweli inakuwa ngumu, CHA ni bangi au umelewa? Hebu basi jaribu kuweka wazi kidogo tu tujue moja! Ina maana ni kuhusu Tshirt za pamoja au?

Jibu Hoja Hii

Cha! jamaika inakupeleka kubaya wangu!! mbona unatuacha gizani!! ila kwa ku gase!! hii ina muhusu Dismas na ..............wake!! kama nimekosea inabidi utuweke wazi,isije ikawa inanihusu mimi! hahahahah!

Jibu Hoja Hii

mh............???????

Jibu Hoja Hii

Mhh nini Wa Mama?

Jibu Hoja Hii

wee ulidhani kuna siri ya watu wawili katika dunia hii,mmoja kati ya wawili hawa alinambia nami nikastaajabu ile mbaya, ila ndivyo dunia ilivyo, wahusika wa sakata hili be careful na mambo yenu.
Pamojah

Jibu Hoja Hii

Dada na wewe kama unajua si uweke wazi! au Bedui yule?

Jibu Hoja Hii

Jamani! Leo mmefikia hatua ya kuniita bedui!! laa haula!! ila mvua lazima itamshukia mtu siku moja!!!! Ishu hii inawahusu wawili hawa wasio jua mambo yale yanafanywa muda gani! sasa wame naswa na Camera zetu!! very soon tunaziweka picha zao na kujitoa Fb!!!! hahahahah!! kaeni mkao wa kuliwa!!!

Jibu Hoja Hii

RSS

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter