Ee Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma utujalie sisi wanakijiji wa fotobaraza kutumia nafasi ya mtandao huu kwa uadilifu na staha ya hali ya juu ili tuweze kunufaika pamoja na wanajamii wote.Umwongezee ufahamu na busara zaidi mwenyekiti wetu wa kijiji babukadja ili aweze kuendelea kufanya mambo.Uepushie mbali wote wanotazama kijiji hiki kwa jicho la husda. AMINA
Afadhali yako wewe umekumbuka kutoa sala kwa ajili ya kijiji na wanakijiji, na mimi naongezea kwa kusema wote wanaotazama kijiji hiki kwa jicho la husda, nguvu ya Mungu iwavunjilie mbali na wapasuke vipandevipande.
PamoJah tutakuwa Imara, na hakuna wa kututikisa.
Amen!